Isaiah 59:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makosa yetu mbele yako ni mengi mno, dhambi zetu zashuhudia dhidi yetu. Naam, makosa yetu tunaandamana nayo, tunayajua maovu yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako, na dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu. Makosa yetu yako pamoja nasi daima, nasi tunayatambua maovu yetu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana makosa yetu yamezidi kuwa mengi mbele zako, na dhambi zetu zashuhudia juu yetu; maana makosa yetu tunayo pamoja nasi, na maovu yetu tumeyajua;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makosa yetu mbele yako ni mengi mno, dhambi zetu zashuhudia dhidi yetu. Naam, makosa yetu tunaandamana nayo, tunayajua maovu yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako, na dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu. Makosa yetu yako pamoja nasi daima, nasi tunayatambua maovu yetu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako, na dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu. Makosa yetu yako pamoja nasi daima, nasi tunayatambua maovu yetu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana makosa yetu yamezidi kuwa mengi mbele zako, na dhambi zetu zashuhudia juu yetu; maana makosa yetu tunayo pamoja nasi, na maovu yetu tumeyajua;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makosa yetu mbele yako ni mengi mno, dhambi zetu zashuhudia dhidi yetu. Naam, makosa yetu tunaandamana nayo, tunayajua maovu yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mapotovu yetu yako mengi mbele yako, nayo makosa yetu yanatusuta; kwani mapotovu yetu yako kwetu, nazo manza zetu tunazijua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana makosa yetu yamezidi kuwa mengi mbele zako, na dhambi zetu zashuhudia juu yetu; maana makosa yetu tunayo pamoja nasi, na maovu yetu tumeyajua;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makosa yetu mbele yako ni mengi sana, zambi zetu zinashuhudia juu yetu. Kweli, makosa yetu yanaandamana nasi, tunayajua maovu yetu.