Isaiah 59:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumekuasi na kukukana ee Mwenyezi-Mungu, tumekataa kukufuata ewe Mungu wetu. Udhalimu na uasi ndivyo tunavyopania, mioyoni mwetu twatunga na kutoa maneno ya uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uasi na udanganyifu dhidi ya Mwenyezi Mungu, kumgeuzia Mungu wetu kisogo, tukichochea udhalimu na maasi, tukinena uongo ambao mioyo yetu imeuhifadhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
katika kukosa na kumkana Bwana, na katika kugeuka tusimfuate Mungu wetu, tukinena jeuri na uasi, na kukusudia maneno ya uongo na kuyatoa moyoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumekuasi na kukukana ee Mwenyezi-Mungu, tumekataa kukufuata ewe Mungu wetu. Udhalimu na uasi ndivyo tunavyopania, mioyoni mwetu twatunga na kutoa maneno ya uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uasi na udanganyifu dhidi ya BWANA, kumgeuzia Mungu wetu kisogo, tukichochea udhalimu na maasi, tukinena uongo ambao mioyo yetu imeuhifadhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uasi na udanganyifu dhidi ya bwana, kumgeuzia Mungu wetu kisogo, tukichochea udhalimu na maasi, tukinena uongo ambao mioyo yetu imeuhifadhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
katika kukosa na kumkana BWANA, na katika kugeuka tusimfuate Mungu wetu, tukinena udhalimu na uasi, na kukusudia maneno ya uongo na kuyatoa moyoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumekuasi na kukukana ee Mwenyezi-Mungu, tumekataa kukufuata ewe Mungu wetu. Udhalimu na uasi ndivyo tunavyopania, mioyoni mwetu twatunga na kutoa maneno ya uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tumemtengua Bwana na kumkana, tukarudi nyuma na kumwacha Mungu wetu, tukasema maoneo na machokozi, tukachukua maneno ya uwongo kama mimba, tukayatoa tena mioyoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
katika kukosa na kumkana BWANA, na katika kugeuka tusimfuate Mungu wetu, tukinena jeuri na uasi, na kukusudia maneno ya uongo na kuyatoa moyoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumekuasi na kukukana, ee Yawe, tumekataa kukufuata, ewe Mungu wetu. Tunasema maneno ya kutesa na uasi, katika mioyo yetu tunatunga na kutoa maneno ya uongo.