Isaiah 59:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haki imewekwa kando, uadilifu uko mbali; ukweli unakanyagwa mahakamani, uaminifu haudiriki kuingia humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, nayo haki inasimama mbali, kweli imejikwaa njiani, uaminifu hauwezi kuingia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hukumu imegeuka ikaenda nyuma, na haki inasimama mbali sana; maana kweli imeanguka katika njia kuu, na unyofu hauwezi kuingia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haki imewekwa kando, uadilifu uko mbali; ukweli unakanyagwa mahakamani, uaminifu haudiriki kuingia humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, nayo haki inasimama mbali, kweli imejikwaa njiani, uaminifu hauwezi kuingia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, nayo haki inasimama mbali, kweli imejikwaa njiani, uaminifu hauwezi kuingia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hukumu imegeuka ikaenda nyuma, na haki inasimama mbali sana; maana kweli imeanguka katika njia kuu, na unyofu hauwezi kuingia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haki imewekwa kando, uadilifu uko mbali; ukweli unakanyagwa mahakamani, uaminifu haudiriki kuingia humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo maamuzi yapasayo yamerudishwa nyuma, nayo yaongokayo yakasimama mbali; kwani ya kweli yalijikwaa njiani, nayo yaliyo sawa hayakuweza kuingia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hukumu imegeuka ikaenda nyuma, na haki inasimama mbali sana; maana kweli imeanguka katika njia kuu, na unyofu hauwezi kuingia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sheria ya Mungu imewekwa pembeni, haki iko mbali; ukweli unakanyagwa katika tribinali, usawa hauwezi kuingia humo.