Isaiah 59:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukweli umekosekana, naye anayeacha uovu hunyanyaswa. Mungu aliona mambo hayo, akachukizwa, alichukizwa kwamba hakuna haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kweli haipatikani popote, na yeyote aepukaye uovu huwa mawindo. Mwenyezi Mungu alitazama, naye akachukizwa kwamba hapakuwa na haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, kweli imepunguka kabisa, na yeye auachaye uovu ajifanya kuwa mateka; naye Bwana akaona hayo, akachukizwa kwa kuwa hapana hukumu ya haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukweli umekosekana, naye anayeacha uovu hunyanyaswa. Mungu aliona mambo hayo, akachukizwa, alichukizwa kwamba hakuna haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kweli haipatikani po pote, na ye yote aepukaye uovu huwa mawindo. BWANA alitazama naye akachukizwa kwamba hapakuwepo haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kweli haipatikani popote, na yeyote aepukaye uovu huwa mawindo. bwana alitazama naye akachukizwa kwamba hapakuwepo haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, kweli imepunguka kabisa, na yeye auachaye uovu ajifanya kuwa mateka; naye BWANA akaona hayo, akachukizwa kwa kuwa hapana hukumu ya haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukweli umekosekana, naye anayeacha uovu hunyanyaswa. Mungu aliona mambo hayo, akachukizwa, alichukizwa kwamba hakuna haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo kweli ikakosekana, naye aliyeacha mabaya hunyang'anywa. Bwana alipoyaona, yakawa mabaya machoni pake, kwa kuwa hakuna maamuzi yapasayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, kweli imepunguka kabisa, na yeye auachaye uovu ajifanya kuwa mateka; naye BWANA akaona hayo, akachukizwa kwa kuwa hapana hukumu ya haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukweli umekosekana, naye anayeacha uovu ananyanganywa. Mungu aliona mambo hayo. Alichukizwa kwamba watu hawafuati sheria yake.