Isaiah 59:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliona kwamba hakuna mtu aliyejali, akashangaa kwamba hakuna aliyeingilia kati. Basi akaamua kunyosha mkono wake mwenyewe, uadilifu wake ukamhimiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliona kuwa hapakuwa hata mtu mmoja, akashangaa kwamba hapakuwa hata mtu mmoja wa kuingilia kati. Hivyo mkono wake mwenyewe ndio uliomfanyia wokovu, nayo haki yake mwenyewe ndiyo iliyomtegemeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaona ya kuwa hapana mtu, akastaajabu kwa kuwa hapana mwombezi; basi, mkono wake mwenyewe ndio uliomletea wokovu; na haki yake ndiyo iliyomsaidia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliona kwamba hakuna mtu aliyejali, akashangaa kwamba hakuna aliyeingilia kati. Basi akaamua kunyosha mkono wake mwenyewe, uadilifu wake ukamhimiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; hivyo mkono wake mwenyewe ndio uliomfanyia wokovu, nayo haki yake mwenyewe ndiyo iliyomtegemeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; hivyo mkono wake mwenyewe ndio uliomfanyia wokovu, nayo haki yake mwenyewe ndiyo iliyomtegemeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaona ya kuwa hapana mtu, akastaajabu kwa kuwa hapana mwombezi; basi, mkono wake mwenyewe ndio uliomletea wokovu; na haki yake ndiyo iliyomsaidia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliona kwamba hakuna mtu aliyejali, akashangaa kwamba hakuna aliyeingilia kati. Basi akaamua kunyosha mkono wake mwenyewe, uadilifu wake ukamhimiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaona, ya kuwa hakuna mtu, akashangaa, ya kuwa hakuna msaidiaji; ndipo, mkono wake ulipomtumikia kuwa wa kuokoa, nao wongofu wake ukamshikiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaona ya kuwa hapana mtu, akastaajabu kwa kuwa hapana mwombezi; basi, mkono wake mwenyewe ndio uliomletea wokovu; na haki yake ndiyo iliyomsaidia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliona kwamba hakuna mutu aliyejali, akashangaa kwamba hakuna aliyeingilia kati. Basi akaamua kunyoosha mukono wake mwenyewe, haki yake ikamusaidia.