Isaiah 59:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alivaa uadilifu kama vazi la kujikinga kifuani, na wokovu kama kofia ya chuma kichwani. Atajivika kisasi kama vazi, na kujifunika wivu kama joho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, na chapeo ya wokovu kichwani mwake, alivaa mavazi ya kisasi naye akajifunga wivu kama joho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajivika haki kama deraya kifuani, na chapeo cha wokovu kichwani pake, akajivika mavazi ya kisasi yawe mavazi yake, naye alivikwa wivu kama joho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alivaa uadilifu kama vazi la kujikinga kifuani, na wokovu kama kofia ya chuma kichwani. Atajivika kisasi kama vazi, na kujifunika wivu kama joho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, na chapeo ya wokovu kichwani mwake, alivaa mavazi ya kisasi naye akajifunga wivu kama joho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, na chapeo ya wokovu kichwani mwake, alivaa mavazi ya kisasi naye akajifunga wivu kama joho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajivika haki kama deraya kifuani, na chapeo cha wokovu kichwani pake, akajivika mavazi ya kisasi yawe mavazi yake, naye alivikwa wivu kama joho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alivaa uadilifu kama vazi la kujikinga kifuani, na wokovu kama kofia ya chuma kichwani. Atajivika kisasi kama vazi, na kujifunika wivu kama joho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajivika wongofu kuwa fulana ya chuma kifuani, kichwani akavaa wokovu kuwa kofia, kisha akajivika lipizi kuwa mavazi ya mwili, akajifunika wivu kuwa nguo za juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajivika haki kama deraya kifuani, na chapeo cha wokovu kichwani pake, akajivika mavazi ya kisasi yawe mavazi yake, naye alivikwa wivu kama joho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alivaa haki kama vile nguo ya kujikinga kifua, na wokovu kama kofia ya chuma juu ya kichwa. Alivaa nguo ya kulipiza kisasi, na kujifunika na kanzu ya wivu.