Isaiah 59:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dhambi zenu ndizo zinazowatenga na Mungu wenu, dhambi zenu zimemfanya ajifiche mbali nanyi hata asiweze kuwasikieni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, ili asisikie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dhambi zenu ndizo zinazowatenga na Mungu wenu, dhambi zenu zimemfanya ajifiche mbali nanyi hata asiweze kuwasikieni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, ili asisikie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, ili asisikie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dhambi zenu ndizo zinazowatenga na Mungu wenu, dhambi zenu zimemfanya ajifiche mbali nanyi hata asiweze kuwasikieni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila manza zenu, mlizozikora, ndizo zinazowatenga ninyi na Mungu wenu, nayo makosa yenu ndiyo yanayowafichia uso wake asiwasikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zambi zenu ndizo zinazowatenga na Mungu wenu, zambi zenu zimemufanya ajifiche mbali nanyi hata asiweze kuwasikiliza ninyi.