Isaiah 59:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye atakuja Siyoni kama Mkombozi, Mkombozi wa wazawa wa Yakobo ambao wataachana na makosa yao. Asema Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mkombozi atakuja Sayuni, kwa wale wa Yakobo wanaozitubu dhambi zao,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Mkombozi atakuja Sayuni, kwao waachao maasi yao katika Yakobo, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye atakuja Siyoni kama Mkombozi, Mkombozi wa wazawa wa Yakobo ambao wataachana na makosa yao. Asema Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mkombozi atakuja Sayuni, kwa wale wa uzao wa Yakobo wanaozitubia dhambi zao,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mkombozi atakuja Sayuni, kwa wale wa Yakobo wanaozitubu dhambi zao,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Mkombozi atakuja Sayuni, kwa wao wa Yakobo waachao maasi yao, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye atakuja Siyoni kama Mkombozi, Mkombozi wa wazawa wa Yakobo ambao wataachana na makosa yao. Asema Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sioni ataingia atakayewakomboa wa Yakobo walioyaacha mapotovu; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Mkombozi atakuja Sayuni, kwao waachao maasi yao katika Yakobo, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye atakuja katika Sayuni kama Mukombozi, Mukombozi wa wazao wa Yakobo ambao wataachana na makosa yao. –Ni ujumbe wa Yawe.