Isaiah 59:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana mikono yenu imetiwa najisi kwa mauaji, na vidole vyenu kwa matendo maovu. Midomo yenu imesema uongo, na ndimi zenu husema uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana mikono yenu imetiwa unajisi kwa damu, na vidole vyenu kwa hatia. Midomo yenu imenena uongo, nazo ndimi zenu zimenong’ona mambo maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mikono yenu imetiwa unajisi kwa damu, na vidole vyenu vimetiwa unajisi kwa uovu; midomo yenu imenena uongo, ndimi zenu zimenong'ona ubaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana mikono yenu imetiwa najisi kwa mauaji, na vidole vyenu kwa matendo maovu. Midomo yenu imesema uongo, na ndimi zenu husema uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu na vidole vyenu kwa hatia. Midomo yenu imenena uongo, nazo ndimi zenu zimenong'ona mambo maovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu na vidole vyenu kwa hatia. Midomo yenu imenena uongo, nazo ndimi zenu zimenong’ona mambo maovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mikono yenu imetiwa unajisi kwa damu, na vidole vyenu vimetiwa unajisi kwa uovu; midomo yenu imenena uongo, ndimi zenu zimenong'ona uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana mikono yenu imetiwa najisi kwa mauaji, na vidole vyenu kwa matendo maovu. Midomo yenu imesema uongo, na ndimi zenu husema uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mikono yenu imechafuliwa na damu, hata vidole vyenu vimechafuliwa na mabaya, viliyoyafanya; midomo yenu husema uwongo, ndimi zenu hunong'ona mapotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mikono yenu imetiwa unajisi kwa damu, na vidole vyenu vimetiwa unajisi kwa uovu; midomo yenu imenena uongo, ndimi zenu zimenong’ona ubaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana mikono yenu imechafuka kwa damu, na vidole vyenu kwa matendo maovu. Midomo yenu imesema uongo, na ndimi zenu zinasema uovu.