Isaiah 59:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utando wenu haufai kwa mavazi, watu hawawezi kujifunikia mnachofuma. Kazi zenu ni kazi za uovu, matendo yenu yote ni ukatili mtupu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utando wao wa buibui haufai kwa mavazi; hawawezi kujifunika kwa kile walichokitengeneza. Matendo yao ni matendo maovu, vitendo vya jeuri vipo mikononi mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyavu zao hazitakuwa mavazi, wala hawatajifunika kwa kazi zao; kazi zao ni kazi za uovu, na vitendo vya udhalimu vimo mikononi mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utando wenu haufai kwa mavazi, watu hawawezi kujifunikia mnachofuma. Kazi zenu ni kazi za uovu, matendo yenu yote ni ukatili mtupu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utando wao wa buibui haufai kwa nguo; hawawezi kujifunika kwa kile walichokitengeneza. Matendo yao ni matendo maovu, vitendo vya jeuri vipo mikononi mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utando wao wa buibui haufai kwa nguo; hawawezi kujifunika kwa kile walichokitengeneza. Matendo yao ni matendo maovu, vitendo vya jeuri vipo mikononi mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyavu zao hazitakuwa mavazi, wala hawatajifunika kwa kazi zao; kazi zao ni kazi za uovu, na vitendo vya udhalimu vimo mikononi mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utando wenu haufai kwa mavazi, watu hawawezi kujifunikia mnachofuma. Kazi zenu ni kazi za uovu, matendo yenu yote ni ukatili mtupu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matandabui yao hayatumiki kuwa mavazi, hawawezi kujifunika kwa hizo kazi zao; kazi zao ni kazi za upotovu, matendo ya ukorofi yamo mikononi mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyavu zao hazitakuwa mavazi, wala hawatajifunika kwa kazi zao; kazi zao ni kazi za uovu, na vitendo vya udhalimu vimo mikononi mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wavu wenu haufai kama nguo, watu hawawezi kujifunikia munachofuma. Kazi zenu ni kazi za uovu, matendo yenu yote ni mateso makali.