Isaiah 59:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njia ya amani hamwijui kamwe; njia zenu zote ni za dhuluma. Mmejifanyia njia potovu, yeyote anayepitia humo hapati amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawajui njia ya amani, hakuna haki katika mapito yao. Wameyageuza kuwa njia za upotovu, hakuna apitaye njia hizo atakayeifahamu amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia ya amani hawaijui; wala hapana hukumu ya haki katika miendo yao; wamejifanyizia njia zilizopotoka; kila apitaye katika njia hizo hajui amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njia ya amani hamwijui kamwe; njia zenu zote ni za dhuluma. Mmejifanyia njia potovu, yeyote anayepitia humo hapati amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawajui njia ya amani, hakuna haki katika mapito yao. Wamezigeuza kuwa njia za upotovu, hakuna ye yote apitaye katika njia hizo atakayeifahamu amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawajui njia ya amani, hakuna haki katika mapito yao. Wameyageuza kuwa njia za upotovu, hakuna apitaye njia hizo atakayeifahamu amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia ya amani hawaijui; wala hapana hukumu ya haki katika mienendo yao; wamejifanyia njia zilizopotoka; kila apitaye katika njia hizo hajui amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njia ya amani hamwijui kamwe; njia zenu zote ni za dhuluma. Mmejifanyia njia potovu, yeyote anayepitia humo hapati amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini njia ya utengemano hawaijui, wala maamuzi yapasayo hayako kwenye mapito yao, mikondo yao wameipotoa, wote waifuatao hawajui utengemano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia ya amani hawaijui; wala hapana hukumu ya haki katika miendo yao; wamejifanyizia njia zilizopotoka; kila apitaye katika njia hizo hajui amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njia ya amani hamuijui hata kidogo; hamufuati sheria ya Mungu. Mumejifanyia njia potovu, yeyote anayepitia humo hapati amani.