Isaiah 6:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami Mwenyezi-Mungu nitawapeleka watu mbali, na kuifanya nchi yote kuwa mahame.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi Mwenyezi Mungu atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana, na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata Bwana atakapowahamisha watu waende mbali sana, na mahame yatakapokuwa mengi ndani ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami Mwenyezi-Mungu nitawapeleka watu mbali, na kuifanya nchi yote kuwa mahame.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hadi BWANA atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana, na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hadi bwana atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana, na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hadi BWANA atakapowahamisha watu waende mbali sana, na mahame yatakapokuwa mengi ndani ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami Mwenyezi-Mungu nitawapeleka watu mbali, na kuifanya nchi yote kuwa mahame.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka hapo, Bwana atakapowapeleka watu mbali, mahame yawe mengi katika nchi hii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata BWANA atakapowahamisha watu waende mbali sana, na mahame yatakapokuwa mengi ndani ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami Yawe nitawapeleka watu mbali, na kuifanya inchi yote kuwa matongo.