Isaiah 6:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu yake walikuwa maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Kwa mabawa mawili walifunika nyuso zao, kwa mengine mawili walifunika miguu yao, na kwa mawili walikuwa wakiruka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu yake walikuwepo maserafi, kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Kwa mabawa mawili walifunika nyuso zao, kwa mengine mawili walifunika miguu yao na kwa mawili walikuwa wakiruka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu yake walikuwepo maserafi, kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Kwa mabawa mawili walifunika nyuso zao, kwa mengine mawili walifunika miguu yao, na kwa mawili walikuwa wakiruka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maserafi walikuwa wanasimama juu yake; kila mmoja wao alikuwa mwenye mabawa sita: mawili aliyatumia kuufunika uso wake, mawili kuifunika miguu yake, mawili ya kurukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na juu yake kulikuwa kumeikaa wamalaika. Kila mumoja alikuwa na mabawa sita: mawili kwa kufunika uso, mawili kwa kufunika mwili na mawili ya kuruka.