Isaiah 6:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliitana kila mmoja na mwenzake hivi: “Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu, ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Dunia yote imejaa utukufu wake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake: “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu ni Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni; dunia yote imejaa utukufu wake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni Bwana wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliitana kila mmoja na mwenzake hivi: “Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu, ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Dunia yote imejaa utukufu wake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake: “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu ni BWANA Mwenye Nguvu Zote; dunia yote imejaa utukufu wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake: “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu ni bwana Mwenye Nguvu Zote; dunia yote imejaa utukufu wake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliitana kila mmoja na mwenzake hivi: “Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu, ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi! Dunia yote imejaa utukufu wake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakapaliziana sauti kwamba: Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu ni Bwana Mwenye vikosi! Nchi zote zimejaa utukufu wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walilalamikiana mumoja kwa mwengine hivi: Mutakatifu, mutakatifu, mutakatifu ni Yawe wa majeshi! Dunia yote imejaa utukufu wake.