Isaiah 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sauti yao iliitikisa misingi ya milango ya hekalu, nalo likajaa moshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sauti zao, miimo ya milango na vizingiti vilitikisika, nalo Hekalu likajaa moshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na misingi ya vizingiti ikatikisika kwa sababu ya sauti yake aliyelia, nayo nyumba ikajaa moshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sauti yao iliitikisa misingi ya milango ya hekalu, nalo likajaa moshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kutoa kwao sauti miimo ya milango na vizingiti vilitikisika, nalo Hekalu likajaa moshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sauti zao, miimo ya milango na vizingiti vilitikisika, nalo Hekalu likajaa moshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na misingi ya vizingiti ikatikisika kwa sababu ya sauti yake aliyelia, nayo nyumba ikajaa moshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sauti yao iliitikisa misingi ya milango ya hekalu, nalo likajaa moshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikatetemeka hata misingi ya vizingiti kwa ukuu wa sauti yake aliyeyatangaza; nayo nyumba ikajaa moshi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na misingi ya vizingiti ikatikisika kwa sababu ya sauti yake aliyelia, nayo nyumba ikajaa moshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)