Isaiah 6:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akinigusa nalo mdomoni, akasema: “Tazama, kaa hili limekugusa mdomo; umeondolewa hatia yako, umesamehewa dhambi yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akanigusa nalo kinywa changu na kusema, “Tazama, hili limegusa midomo yako, uovu wako umeondolewa, nayo dhambi yako imesamehewa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akinigusa nalo mdomoni, akasema: “Tazama, kaa hili limekugusa mdomo; umeondolewa hatia yako, umesamehewa dhambi yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akanigusa nalo kinywa changu na kusema, “Tazama, hili limegusa midomo yako, uovu wako umeondolewa nayo dhambi yako imesamehewa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akanigusa nalo kinywa changu na kusema, “Tazama, hili limegusa midomo yako, uovu wako umeondolewa, nayo dhambi yako imesamehewa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akinigusa nalo mdomoni, akasema: “Tazama, kaa hili limekugusa mdomo; umeondolewa hatia yako, umesamehewa dhambi yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akagusa nalo kinywa changu, akasema: Tazama! Hili lilipoigusa midomo yako, manza zako, ulizozikora, zimekutoka, nayo makosa yako yamefunikwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akinigusa nalo kwenye mudomo, akasema: Kaa hili limekugusa kwenye mudomo; umeondolewa kosa lako, umesamehewa zambi yako.