Isaiah 6:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akaniambia, “Nenda ukawaambie watu hawa: ‘Mtasikiliza sana, lakini hamtaelewa; mtatazama sana, lakini hamtaona.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, lakini kamwe hamtaelewa; mtaendelea daima kutazama, lakini kamwe hamtatambua.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaniambia, Enenda, ukawaambie watu hawa, Fulizeni kusikia, lakini msifahamu; fulizeni kutazama, lakini msione.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akaniambia, “Nenda ukawaambie watu hawa: ‘Mtasikiliza sana, lakini hamtaelewa; mtatazama sana, lakini hamtaona.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: “ ‘Mtaendelea daima kusikia, lakini kamwe hamtafahamu; mtaendelea daima kuona, lakini kamwe hamtatambua.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, lakini kamwe hamtaelewa; mtaendelea daima kutazama, lakini kamwe hamtatambua.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaniambia, Nenda, ukawaambie watu hawa, Endeleeni kusikia, lakini msifahamu; endeleeni kutazama, lakini msione.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akaniambia, “Nenda ukawaambie watu hawa: ‘Mtasikiliza sana, lakini hamtaelewa; mtatazama sana, lakini hamtaona.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Nenda, uwaambie watu wa ukoo huu kwamba: Kusikia mtasikia, lakini hamtajua maana; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaniambia, Enenda, ukawaambie watu hawa, Fulizeni kusikia, lakini msifahamu; fulizeni kutazama, lakini msione.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akaniambia: Kwenda kuwaambia watu hawa hivi: Mutasikiliza sana, lakini hamutaelewa; mutaangalia sana, lakini hamutaona.