Isaiah 60:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Utaletewa fahari ya msitu wa Lebanoni: Mbao za miberoshi, mivinje na misonobari, zitumike kupamba mahali pa maskani yangu; nami nitaparembesha hapo ninapokaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Utukufu wa Lebanoni utakujilia, msunobari, mvinje pamoja na mteashuri, ili kupapamba mahali pangu patakatifu, nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utukufu wa Lebanoni utakujia wewe, Mberoshi na mtidhari na mteashuri pamoja; Ili kupapamba mahali pangu patakatifu, Nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Utaletewa fahari ya msitu wa Lebanoni: mbao za miberoshi, mivinje na misonobari, zitumike kupamba mahali pa maskani yangu; nami nitaparembesha hapo ninapokaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Utukufu wa Lebanoni utakujilia, msunobari, mvinje pamoja na mteashuri, ili kupapamba mahali pangu patakatifu, nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Utukufu wa Lebanoni utakujilia, msunobari, mvinje pamoja na mteashuri, ili kupapamba mahali pangu patakatifu, nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utukufu wa Lebanoni utakujia wewe, Mberoshi na mtidhari na mteashuri pamoja; Ili kupapamba mahali pangu patakatifu, Nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Utaletewa fahari ya msitu wa Lebanoni: Mbao za miberoshi, mivinje na misonobari, zitumike kupamba mahali pa maskani yangu; nami nitaparembesha hapo ninapokaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu wa Libanoni utakuja kwako, mivinje na mitamba na mizambarau yote pamoja iwe mapambo ya mahali pangu patakatifu, maana mahali, miguu yangu itakapopakanyaga, nitapapatia marembo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utukufu wa Lebanoni utakujia wewe, Mberoshi na mtidhari na mteashuri pamoja; Ili kupapamba mahali pangu patakatifu, Nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaletewa utukufu wa pori ya Lebanoni: mbao za shindano, mivinje na misunobari, zitumike kwa kupamba kiwanja cha hekalu langu; nami nitaleta utukufu hapo ninapokaa.