Isaiah 60:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama, giza litaifunika dunia, giza nene litayafunika mataifa; lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia, utukufu wake utaonekana kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, giza litaifunika dunia, na giza nene litayafunika mataifa, lakini Mwenyezi Mungu atazuka juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali Bwana atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama, giza litaifunika dunia, giza nene litayafunika mataifa; lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia, utukufu wake utaonekana kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, giza litaifunika dunia na giza kuu litayafunika mataifa, lakini BWANA atazuka juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, giza litaifunika dunia na giza kuu litayafunika mataifa, lakini bwana atazuka juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litayafunika makabila ya watu; Bali BWANA atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama, giza litaifunika dunia, giza nene litayafunika mataifa; lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia, utukufu wake utaonekana kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani tunapotazama, giza linaifunika nchi, mawingu meusi yanayafunika makabila ya watu, lakini wewe, Bwana anakuzukia, nao utukufu wake unaonekana juu yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali BWANA atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Giza litaifunika dunia, giza kubwa litayafunika mataifa; lakini wewe, Yawe atakuangazia, utukufu wake utaonekana kwako.