Isaiah 60:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wako wote watakuwa waadilifu, nao wataimiliki nchi milele. Hao ni chipukizi nililopanda mimi, kazi ya mikono yangu kwa ajili ya utukufu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, nao wataimiliki nchi milele. Wao ni chipukizi nililolipanda, kazi ya mikono yangu, ili kuonesha utukufu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wako nao watakuwa wenye haki wote, Nao watairithi nchi milele;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wako wote watakuwa waadilifu, nao wataimiliki nchi milele. Hao ni chipukizi nililopanda mimi, kazi ya mikono yangu kwa ajili ya utukufu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu nao wataimiliki nchi milele. Wao ni chipukizi nililolipanda, kazi ya mikono yangu, kwa ajili ya kuonyesha utukufu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, nao wataimiliki nchi milele. Wao ni chipukizi nililolipanda, kazi ya mikono yangu, ili kuonyesha utukufu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wako nao watakuwa wenye haki wote, Nao watairithi nchi milele; Wao ni chipukizi nililolipanda mimi mwenyewe, Kazi ya mikono yangu mwenyewe, Ili mimi nitukuzwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wako wote watakuwa waadilifu, nao wataimiliki nchi milele. Hao ni chipukizi nililopanda mimi, kazi ya mikono yangu kwa ajili ya utukufu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio wa ukoo wako wote watakuwa waongofu, watakuwa wenye nchi kale na kale, kwa kuwa ni shamba, nililolipanda, ni kazi ya mikono yangu, nijipatie matukuzo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wako nao watakuwa wenye haki wote, Nao watairithi nchi milele; Chipukizi nililolipanda mimi mwenyewe, Kazi ya mikono yangu mwenyewe, Ili mimi nitukuzwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wako wote watakuwa wa haki, nao watarizi inchi milele. Hao ni chipukizi nililopanda mimi, kazi ya mikono yangu kwa ajili ya utukufu wangu.