Isaiah 60:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliye mdogo kati yenu atakuwa ukoo, aliye mdogo kuliko wote atakuwa taifa kubwa. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu; wakati ufikapo nitayatekeleza hayo haraka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu, mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu; katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mdogo atakuwa elfu, Na mnyonge atakuwa taifa hodari; Mimi, Bwana, nitayahimiza hayo wakati wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliye mdogo kati yenu atakuwa ukoo, aliye mdogo kuliko wote atakuwa taifa kubwa. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu; wakati ufikapo nitayatekeleza hayo haraka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu, mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu. Mimi ndimi BWANA; katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu, mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu. Mimi ndimi bwana; katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliye mdogo zaidi atakuwa elfu, Na mnyonge atakuwa taifa hodari; Mimi, BWANA, nitayahimiza hayo wakati wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliye mdogo kati yenu atakuwa ukoo, aliye mdogo kuliko wote atakuwa taifa kubwa. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu; wakati ufikapo nitayatekeleza hayo haraka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliye mdogo atageuka kuwa elfu, naye aliye mnyonge atageuka kuwa taifa lenye nguvu. Mimi Bwana nitayafanyiza upesi, siku zake zitakapotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mdogo atakuwa elfu, Na mnyonge atakuwa taifa hodari; Mimi, BWANA, nitayahimiza hayo wakati wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayekuwa jamaa ndogo kati yenu atakuwa kabila, anayekuwa mudogo kuliko wote atakuwa taifa kubwa. Mimi ndiye Yawe; wakati utakapofika nitayatimiza haraka.