Isaiah 60:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani hao wanaopepea kama mawingu, kama njiwa wanaoruka kwenda viotani mwao?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni nani hawa warukao kama mawingu, kama hua kuelekea kwenye viota vyao?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani hawa warukao kama wingu, Na kama njiwa waendao madirishani kwao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani hao wanaopepea kama mawingu, kama njiwa wanaoruka kwenda viotani mwao?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni nani hawa warukao kama mawingu kama hua kuelekea kwenye viota vyao?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni nani hawa warukao kama mawingu, kama hua kuelekea kwenye viota vyao?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani hawa warukao kama wingu, Na kama njiwa waendao madirishani kwao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani hao wanaopepea kama mawingu, kama njiwa wanaoruka kwenda viotani mwao?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao ni wa nani wanaoruka kama mawingu au kama hua wanaoyarukia matundu yao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani hawa warukao kama wingu, Na kama njiwa waendao madirishani kwao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani hao wanaopita mbio kama mawingu, kama njiwa wanaoruka kwenda katika chicha zao?