Isaiah 61:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, kama vile ardhi ioteshavyo mimea, na shamba lichipushavyo mbegu zilizopandwa humo, Mwenyezi-Mungu atasababisha uadilifu na sifa kuchomoza mbele ya mataifa yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota, na bustani isababishavyo mbegu kuota, ndivyo Bwana Mungu Mwenyezi atafanya haki na sifa zichipuke mbele ya mataifa yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kama nchi itoavyo machipuko yake, na kama bustani ioteshavyo vitu vilivyopandwa ndani yake; ndivyo Bwana MUNGU atakavyootesha haki na sifa mbele ya mataifa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, kama vile ardhi ioteshavyo mimea, na shamba lichipushavyo mbegu zilizopandwa humo, Mwenyezi-Mungu atasababisha uadilifu na sifa kuchomoza mbele ya mataifa yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota na bustani isababishavyo mbegu kuota, hivyo hivyo BWANA Mwenyezi atafanya haki na sifa zichipuke mbele ya mataifa yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota, na bustani isababishavyo mbegu kuota, ndivyo bwana Mwenyezi atafanya haki na sifa zichipuke mbele ya mataifa yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kama nchi itoavyo machipuko yake, na kama bustani ioteshavyo vitu vilivyopandwa ndani yake; ndivyo Bwana MUNGU atakavyootesha haki na sifa mbele ya mataifa yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, kama vile ardhi ioteshavyo mimea, na shamba lichipushavyo mbegu zilizopandwa humo, Mwenyezi-Mungu atasababisha uadilifu na sifa kuchomoza mbele ya mataifa yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kama nchi inavyoyatoa machipukizi yake, kama shamba linavyozichipuza mbegu zake, ndivyo, Bwana Mungu atakavyochipuza wongofu na mashangilio mbele ya wamizimu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kama nchi itoavyo machipuko yake, na kama bustani ioteshavyo vitu vilivyopandwa ndani yake; ndivyo Bwana MUNGU atakavyootesha haki na sifa mbele ya mataifa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, kama vile udongo unavyootesha mimea, na shamba linavyochipukiza mbegu zilizopandwa humo, Yawe atasababisha haki na sifa kuonekana mbele ya mataifa yote.