Isaiah 61:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amenituma niutangaze mwaka wake wa neema, na siku ya Mungu wetu ya kulipiza kisasi; niwafariji wote wanaoomboleza;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutangaza mwaka wa Mwenyezi Mungu uliokubaliwa, na siku ya kisasi ya Mungu wetu, kuwafariji wote wanaoomboleza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amenituma niutangaze mwaka wake wa neema, na siku ya Mungu wetu ya kulipiza kisasi; niwafariji wote wanaoomboleza;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa na siku ya kisasi ya Mungu wetu, kuwafariji wote waombolezao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutangaza mwaka wa bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi ya Mungu wetu, kuwafariji wote waombolezao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amenituma niutangaze mwaka wake wa neema, na siku ya Mungu wetu ya kulipiza kisasi; niwafariji wote wanaoomboleza;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
niutangaze mwaka wa Bwana upendezao na siku ya lipizi ya Mungu wetu, niwatulize mioyo wote wasikitikao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amenituma kutangaza mwaka wake wa neema, na siku ya Mungu wetu ya kulipiza kisasi kusudi niwafariji wote wanaoomboleza.