Isaiah 61:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watayajenga upya magofu ya zamani, wataisimika miji iliyoharibiwa hapo kwanza; wataitengeneza miji iliyobomolewa, uharibifu wa vizazi vingi vilivyopita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watajenga upya magofu ya zamani na kupatengeneza mahali palipoachwa ukiwa zamani; watafanya upya miji iliyoharibiwa, iliyoachwa ukiwa kwa vizazi vingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watajenga mahali pa kale palipoharibiwa, watapainua mahali palipokuwa ukiwa zamani, watatengeneza miji iliyoharibiwa, mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watayajenga upya magofu ya zamani, wataisimika miji iliyoharibiwa hapo kwanza; wataitengeneza miji iliyobomolewa, uharibifu wa vizazi vingi vilivyopita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watajenga upya magofu ya zamani na kupatengeneza mahali palipoachwa ukiwa zamani; watafanya upya miji iliyoharibiwa iliyoachwa ukiwa kwa vizazi vingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watajenga upya magofu ya zamani na kupatengeneza mahali palipoachwa ukiwa zamani; watafanya upya miji iliyoharibiwa, iliyoachwa ukiwa kwa vizazi vingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watajenga mahali pa kale palipoharibiwa, watapainua mahali palipokuwa ukiwa zamani, watatengeneza miji iliyoharibiwa, mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watayajenga upya magofu ya zamani, wataisimika miji iliyoharibiwa hapo kwanza; wataitengeneza miji iliyobomolewa, uharibifu wa vizazi vingi vilivyopita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watayajenga mabomoko yako ya kale, nayo mahame ya siku za mbele watayasimamisha tena, nayo miji iliyo machungu ya mawe tu watairudishia upya, ndiyo iliyokuwa imeangamia kwao vizazi na vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watajenga mahali pa kale palipoharibiwa, watapainua mahali palipokuwa ukiwa zamani, watatengeneza miji iliyoharibiwa, mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watayajenga upya mabomoko ya zamani, wataisimika miji iliyoharibika tangu mbele; wataitengeneza miji iliyobomolewa, uharibifu wa vizazi vingi vilivyopita.