Isaiah 61:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wageni watakuwa hapo kuwachungia mifugo yenu; watawalimia na kuwatunzia mizabibu yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wageni watayachunga makundi yenu, wageni watafanya kazi katika mashamba yenu, na kutunza mashamba yenu ya mizabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wageni watakuwa hapo kuwachungia mifugo yenu; watawalimia na kuwatunzia mizabibu yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wageni watayachunga makundi yenu, wageni watafanya kazi katika mashamba yenu na kutunza mashamba yenu ya mizabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wageni watayachunga makundi yenu, wageni watafanya kazi katika mashamba yenu, na kutunza mashamba yenu ya mizabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wageni watakuwa hapo kuwachungia mifugo yenu; watawalimia na kuwatunzia mizabibu yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wageni watasimama hapo wakiyachunga makundi yenu, waliotoka nchi nyingine watakuwa wakulima wenu na watunza mizabibu yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wageni watakuwa hapo kuwachungia makundi yenu ya nyama; watawalimia na kuwatunzia mizabibu yenu.