Isaiah 61:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi mtaitwa: “Makuhani wa Mwenyezi-Mungu”, Mtaitwa: “Watumishi wake Mungu wetu”. Mtafaidika kwa utajiri wa mataifa, mtatukuka kwa mali zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nanyi mtaitwa makuhani wa Mwenyezi Mungu, mtaitwa watumishi wa Mungu wetu. Mtakula utajiri wa mataifa, nanyi katika utajiri wao mtajisifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali ninyi mtaitwa makuhani wa Bwana; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajiri wa mataifa, na kujisifia utukufu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi mtaitwa: “Makuhani wa Mwenyezi-Mungu”, Mtaitwa: “Watumishi wake Mungu wetu”. Mtafaidika kwa utajiri wa mataifa, mtatukuka kwa mali zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nanyi mtaitwa makuhani wa BWANA, mtaitwa watumishi wa Mungu wetu. Mtakula utajiri wa mataifa, nanyi katika utajiri wao mtajisifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nanyi mtaitwa makuhani wa bwana, mtaitwa watumishi wa Mungu wetu. Mtakula utajiri wa mataifa, nanyi katika utajiri wao mtajisifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali ninyi mtaitwa makuhani wa BWANA; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajiri wa mataifa, na kujisifia utukufu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi mtaitwa: “Makuhani wa Mwenyezi-Mungu”, Mtaitwa: “Watumishi wake Mungu wetu”. Mtafaidika kwa utajiri wa mataifa, mtatukuka kwa mali zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi mtaitwa watambikaji wa Bwana, mtaambiwa: M watumishi wa Mungu wetu; mapato ya wamizimu mtayala, nayo matukufu yao yatakuwa mali zenu.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali ninyi mtaitwa makuhani wa BWANA; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajiri wa mataifa, na kujisifia utukufu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi mutaitwa: “Makuhani wa Yawe”, Mutaitwa: “Watumishi wa Mungu wetu”. Mutafaidika kwa utajiri wa mataifa, mutatukuzwa kwa mali zao.