Isaiah 62:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakazi wa Yerusalemu, tokeni, tokeni nje ya mji, watayarishieni njia watu wenu wanaorejea! Jengeni! Jengeni barabara na kuondoa mawe yote! Wekeni alama kwa ajili ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Piteni, piteni katika malango! Tengenezeni njia kwa ajili ya watu. Jengeni, jengeni njia kuu! Ondoeni mawe. Inueni bendera kwa ajili ya mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Piteni, piteni, katika malango; Itengenezeni njia ya watu; Tutieni, tutieni barabara; toeni mawe yake; Twekeni bendera kwa ajili ya kabila za watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakazi wa Yerusalemu, tokeni, tokeni nje ya mji, watayarishieni njia watu wenu wanaorejea! Jengeni! Jengeni barabara na kuondoa mawe yote! Wekeni alama kwa ajili ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Piteni, piteni katika malango! Tengenezeni njia kwa ajili ya watu. Jengeni, jengeni njia kuu! Ondoeni mawe. Inueni bendera kwa ajili ya mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Piteni, piteni katika malango! Tengenezeni njia kwa ajili ya watu. Jengeni, jengeni njia kuu! Ondoeni mawe. Inueni bendera kwa ajili ya mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Piteni, piteni, katika malango; Itengenezeni njia ya watu; Tutieni, tutieni barabara; toeni mawe yake; Twekeni bendera kwa ajili ya makabila ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakazi wa Yerusalemu, tokeni, tokeni nje ya mji, watayarishieni njia watu wenu wanaorejea! Jengeni! Jengeni barabara na kuondoa mawe yote! Wekeni alama kwa ajili ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Piteni mlangoni, mwitengeneze njia yao walio ukoo wetu! Chimbeni! Ichimbeni barabara na kuyaondoa mawe! Twekeni bendera, makabila ya watu yaione!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Piteni, piteni, katika malango; Itengenezeni njia ya watu; Tutieni, tutieni barabara; toeni mawe yake; Twekeni bendera kwa ajili ya kabila za watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wakaaji wa Yerusalema, mutoke, mutoke inje ya muji, muwatayarishie njia watu wenu wanaorudia! Mujenge! Mujenge barabara na kuondoa mawe yote! Muweke bendera kuwa kitambulisho kwa ajili ya watu.