Isaiah 62:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ametangaza duniani kote, waambie watu wa Siyoni: “Mkombozi wenu anakuja, zawadi yake iko pamoja naye na tuzo lake liko mbele yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ametoa tangazo hadi miisho ya dunia: “Mwambie Binti Sayuni, ‘Tazama, mwokozi wako anakuja! Tazama ujira wake uko pamoja naye, na malipo yake yanafuatana naye!’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Bwana ametangaza habari mpaka mwisho wa dunia, Mwambieni binti Sayuni, Tazama, wokovu wako unakuja; Tazama, thawabu yake i pamoja naye, Na malipo yake yako mbele zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ametangaza duniani kote, waambie watu wa Siyoni: “Mkombozi wenu anakuja, zawadi yake iko pamoja naye na tuzo lake liko mbele yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ametoa tangazo mpaka miisho ya dunia: “Mwambie Binti Sayuni, ‘Tazama, mwokozi wako anakuja! Tazama ujira wake ukiwa pamoja naye, na malipo yake yanafuatana naye!’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ametoa tangazo mpaka miisho ya dunia: “Mwambie Binti Sayuni, ‘Tazama, mwokozi wako anakuja! Tazama ujira wake uko pamoja naye, na malipo yake yanafuatana naye!’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, BWANA ametangaza habari mpaka mwisho wa dunia, Mwambieni binti Sayuni, Tazama, wokovu wako unakuja; Tazama, thawabu yake iko pamoja naye, Na malipo yake yako mbele zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ametangaza duniani kote, waambie watu wa Siyoni: “Mkombozi wenu anakuja, zawadi yake iko pamoja naye na tuzo lake liko mbele yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Angalieni! Bwana anatangaza mapeoni kwa nchi kwamba: Mwambieni binti Sioni: Tazama, wokovu wako unakuja! Tazama, mshahara wake wa kulipa anao, nayo mapato yake yako mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, BWANA ametangaza habari mpaka mwisho wa dunia, Mwambieni binti Sayuni, Tazama, wokovu wako unakuja; Tazama, thawabu yake i pamoja naye, Na malipo yake yako mbele zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ametangaza katika dunia yote, muwaambie watu wa Sayuni hivi: Mukombozi wenu anakuja, yeye anakuja na mapato yake, anafika na mushahara wake.