Isaiah 62:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mtaitwa: “Watu Watakatifu”, “Watu waliokombolewa na Mwenyezi-Mungu.” Na Yerusalemu utaitwa: “Mji aupendao Mungu”, “Mji ambao Mungu hakuuacha.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wataitwa Watu Watakatifu, Waliokombolewa na Mwenyezi Mungu; nawe utaitwa Aliyetafutwa, Mji Usioachwa Tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watawaita, Watu watakatifu, Waliokombolewa na Bwana; Nawe utaitwa, Aliyetafutwa, Mji usioachwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mtaitwa: “Watu Watakatifu”, “Watu waliokombolewa na Mwenyezi-Mungu.” Na Yerusalemu utaitwa: “Mji aupendao Mungu”, “Mji ambao Mungu hakuuacha.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wataitwa Watu Watakatifu, Waliokombolewa na BWANA; nawe utaitwa Aliyetafutwa, Mji Usioachwa Tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wataitwa Watu Watakatifu, Waliokombolewa na bwana; nawe utaitwa Aliyetafutwa, Mji Usioachwa Tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watawaita, Watu watakatifu, Waliokombolewa na BWANA; Nawe utaitwa, Aliyetafutwa, Mji usioachwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mtaitwa: “Watu Watakatifu”, “Watu waliokombolewa na Mwenyezi-Mungu.” Na Yerusalemu utaitwa: “Mji aupendao Mungu”, “Mji ambao Mungu hakuuacha.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watawaita: Ukoo mtakatifu ulio wao waliokombolewa na Bwana, nawe utaitwa Mji uliotafutwa, usioachwa tena.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watawaita, Watu watakatifu, Waliokombolewa na BWANA; Nawe utaitwa, Aliyetafutwa, Mji usioachwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi mutaitwa: Watu Watakatifu, Watu waliokombolewa na Yawe. Nawe Yerusalema utaitwa: Muji Mungu anaoupenda, Muji ambao Mungu hakuuacha.