Isaiah 62:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa watauona wokovu wako, wafalme wote watauona utukufu wako. Nawe utaitwa kwa jina jipya, jina atakalokupa Mwenyezi-Mungu mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa wataona haki yako, nao wafalme wote wataona utukufu wako; wewe utaitwa kwa jina jipya lile ambalo kinywa cha Mwenyezi Mungu kitatamka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mataifa wataiona haki yako, na wafalme wote watauona utukufu wako; nawe utaitwa jina jipya, litakalotajwa na kinywa cha Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa watauona wokovu wako, wafalme wote watauona utukufu wako. Nawe utaitwa kwa jina jipya, jina atakalokupa Mwenyezi-Mungu mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa wataona haki yako, nao wafalme wote wataona utukufu wako; wewe utaitwa kwa jina jipya lile ambalo kinywa cha BWANA kitatamka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa wataona haki yako, nao wafalme wote wataona utukufu wako; wewe utaitwa kwa jina jipya lile ambalo kinywa cha bwana kitatamka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mataifa wataiona haki yako, na wafalme wote watauona utukufu wako; nawe utaitwa jina jipya, litakalotajwa na kinywa cha BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa watauona wokovu wako, wafalme wote watauona utukufu wako. Nawe utaitwa kwa jina jipya, jina atakalokupa Mwenyezi-Mungu mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wamizimu watakapoona yaliyokupasa, nao wafalme wote watauona utukufu wako, nawe utaitwa kwa jina jipya, kinywa cha Bwana kitakalolitaja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mataifa wataiona haki yako, na wafalme wote watauona utukufu wako; nawe utaitwa jina jipya, litakalotajwa na kinywa cha BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa watauona wokovu wako, wafalme wote watauona utukufu wako. Nawe utaitwa kwa jina jipya ambalo litapangwa na Yawe mwenyewe.