Isaiah 62:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakuwa taji la fahari mkononi mwa Mwenyezi Mungu, taji la kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utakuwa taji ya uzuri katika mkono wa Bwana, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa BWANA, taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa bwana, taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utakuwa taji la uzuri katika mkono wa BWANA, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakapokuwa urembo wa kichwa wenye utukufu mkononi mwa Bwana, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utakuwa taji ya uzuri katika mkono wa BWANA, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakuwa taji zuri katika mukono wa Yawe; taji la kifalme katika mukono wa Mungu wako.