Isaiah 62:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Juu ya kuta zako ee Yerusalemu nimeweka walinzi, usiku na mchana kamwe hawatakaa kimya.” Enyi mnaomkumbusha Mwenyezi-Mungu ahadi yake, msikae kimya;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, hawatanyamaza mchana wala usiku. Ninyi wenye kumwita Mwenyezi Mungu, msitulie,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msiwe na kimya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Juu ya kuta zako ee Yerusalemu nimeweka walinzi, usiku na mchana kamwe hawatakaa kimya.” Enyi mnaomkumbusha Mwenyezi-Mungu ahadi yake, msikae kimya;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu, hawatanyamaza mchana wala usiku. Ninyi wenye kumwita BWANA, msitulie,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, hawatanyamaza mchana wala usiku. Ninyi wenye kumwita bwana, msitulie,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha BWANA, msiwe na kimya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Juu ya kuta zako ee Yerusalemu nimeweka walinzi, usiku na mchana kamwe hawatakaa kimya.” Enyi mnaomkumbusha Mwenyezi-Mungu ahadi yake, msikae kimya;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Bomani kwako, Yerusalemu, nimeweka walinzi juu, mchana kutwa na usiku kucha wasinyamaze kamwe. Ninyi mnaolitangaza Jina la Bwana, msiwe kimya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha BWANA, msiwe na kimya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kuta zako, ee Yerusalema, nimeweka walinzi, usiku na muchana hawatakaa kimya hata kidogo. Enyi munaomukumbusha Yawe ahadi yake, musikae kimya;