Isaiah 62:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
msimpe hata nafasi ya kupumzika, mpaka atakapousimika mji wa Yerusalemu, na kuufanya uwe fahari ulimwenguni kote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu na kuufanya uwe sifa ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala msimwache akae kimya, mpaka atakapoufanya imara Yerusalemu, na kuufanya kuwa sifa duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
msimpe hata nafasi ya kupumzika, mpaka atakapousimika mji wa Yerusalemu, na kuufanya uwe fahari ulimwenguni kote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu na kuufanya uwe sifa ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu na kuufanya uwe sifa ya dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala msimwache akae kimya, mpaka atakapouimarisha Yerusalemu, na kuufanya usifike kote duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
msimpe hata nafasi ya kupumzika, mpaka atakapousimika mji wa Yerusalemu, na kuufanya uwe fahari ulimwenguni kote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala msimwache Bwana kuwa kimya, mpaka aushikize Yerusalemu tena na kuuweka, utukuzwe katika nchi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala msimwache akae kimya, mpaka atakapoufanya imara Yerusalemu, na kuufanya kuwa sifa duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
musimupe hata nafasi ya kupumzika, mpaka atakapousimika Yerusalema, na kuufanya kuwa wenye sifa katika ulimwengu wote.