Isaiah 63:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wao walikuwa wakaidi, wakaihuzunisha roho yake takatifu. Basi, Mungu akageuka, akawa adui yao; yeye mwenyewe akapigana nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini waliasi, na kumhuzunisha Roho Mtakatifu wa Mungu. Hivyo aligeuka na kuwa adui yao, na yeye mwenyewe akapigana dhidi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wakaasi, wakamhuzunisha Roho yake Mtakatifu; kwa hiyo akawageukia, akawa adui, akapigana nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wao walikuwa wakaidi, wakaihuzunisha roho yake takatifu. Basi, Mungu akageuka, akawa adui yao; yeye mwenyewe akapigana nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini waliasi na kumhuzunisha Roho Mtakatifu wake. Hivyo aligeuka na kuwa adui yao na yeye mwenyewe akapigana dhidi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini waliasi, na kumhuzunisha Roho Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu. Hivyo aligeuka na kuwa adui yao, na yeye mwenyewe akapigana dhidi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wakaasi, wakamhuzunisha Roho yake Mtakatifu; kwa hiyo akawageukia, akawa adui, akapigana nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wao walikuwa wakaidi, wakaihuzunisha roho yake takatifu. Basi, Mungu akageuka, akawa adui yao; yeye mwenyewe akapigana nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wakaacha kumtii, wakaisikitisha Roho yake takatifu; ndipo, alipogeuka kuwa adui yao, akapigana nao mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wakaasi, wakamhuzunisha Roho yake Mtakatifu; kwa hiyo akawageukia, akawa adui, akapigana nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wao waliasi, wakaihuzunisha roho yake takatifu. Basi, Mungu akageuka, akakuwa adui yao; yeye mwenyewe akapigana nao.