Isaiah 63:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kitambo tu sisi watakatifu wako tulimiliki nchi, lakini maadui zetu wakaja wakaharibu maskani yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kwa muda mfupi watu wako walimiliki mahali pako patakatifu, lakini sasa adui zetu wamepakanyaga mahali patakatifu pako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wako watakatifu waliumiliki kwa kitambo tu; adui zetu wamepakanyaga patakatifu pako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kitambo tu sisi watakatifu wako tulimiliki nchi, lakini maadui zetu wakaja wakaharibu maskani yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kwa muda mfupi watu wako walimiliki mahali pako patakatifu, lakini sasa adui zetu wamepakanyaga mahali patakatifu pako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kwa muda mfupi watu wako walimiliki mahali pako patakatifu, lakini sasa adui zetu wamepakanyaga mahali patakatifu pako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wako watakatifu waliumiliki kwa kitambo tu; adui zetu wamepakanyaga patakatifu pako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kitambo tu sisi watakatifu wako tulimiliki nchi, lakini maadui zetu wakaja wakaharibu maskani yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilikuwa kitambo kidogo tu, watu wako watakatifu walipokuwa wenye mafungu yao, kisha wao waliotusonga walipaponda Patakatifu pako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wako watakatifu waliumiliki kwa kitambo tu; adui zetu wamepakanyaga patakatifu pako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi watakatifu wako tulirizi inchi kwa muda kidogo tu, lakini waadui zetu wakakuja wakaharibu hekalu lako.