Isaiah 63:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumekuwa kama watu ambao hujawatawala kamwe, kama watu ambao hawakujulikana kwa jina lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisi tumekuwa kama wale ambao hujawatawala kamwe, kama wale ambao hawajaitwa kwa jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tumekuwa kama watu usiowamiliki kamwe; kama watu wasioitwa kwa Jina lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumekuwa kama watu ambao hujawatawala kamwe, kama watu ambao hawakujulikana kwa jina lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisi ni watu wako tangu zamani; lakini tumekuwa kama wale ambao hujawatawala kamwe, kama wale ambao hawajaitwa kwa jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisi tumekuwa kama wale ambao hujawatawala kamwe, kama wale ambao hawajaitwa kwa jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tumekuwa kama watu usiowamiliki kamwe; kama watu wasioitwa kwa Jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumekuwa kama watu ambao hujawatawala kamwe, kama watu ambao hawakujulikana kwa jina lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tukawa watu, usiowatawala tangu kale, wasiolitambikia Jina lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tumekuwa kama watu usiowamiliki kamwe; kama watu wasioitwa kwa Jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tumekuwa kama watu ambao haujawatawala hata kidogo, kama watu ambao hawakujulikana kwa jina lako. Heri ungepasua mbingu ushuke chini, milima ingetetemeka mbele yako!