Isaiah 63:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hasira yangu niliwaponda watu, niliwalewesha kwa ghadhabu yangu; damu yao niliimwaga chini ardhini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu, katika ghadhabu yangu niliwalewesha, na kumwaga damu yao juu ya ardhi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikazikanyaga kabila za watu kwa hasira yangu, Nikawalevya kwa ghadhabu yangu, Nami nikaimwaga damu yao chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hasira yangu niliwaponda watu, niliwalewesha kwa ghadhabu yangu; damu yao niliimwaga chini ardhini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu, katika ghadhabu yangu niliwalewesha na kumwaga damu yao juu ya ardhi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu, katika ghadhabu yangu niliwalewesha, na kumwaga damu yao juu ya ardhi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikayakanyaga makabila ya watu kwa hasira yangu, Nikawalevya kwa ghadhabu yangu, Nami nikaimwaga damu yao chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hasira yangu niliwaponda watu, niliwalewesha kwa ghadhabu yangu; damu yao niliimwaga chini ardhini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, nikayoponda makabila ya watu kwa makali yangu, nikawalevya kwa moto wa machafuko yangu nilipozimwaga damu zao chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikazikanyaga kabila za watu kwa hasira yangu, Nikawalevya kwa ghadhabu yangu, Nami nikaimwaga damu yao chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hasira yangu niliwaponda watu, niliwalewesha kwa kasirani yangu; damu yao niliimwanga chini.