Isaiah 63:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana alisema juu yao: “Hakika, hawa ni watu wangu; watoto wangu ambao hawatanidanganya.” Basi yeye akawa Mwokozi wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alisema, “Hakika wao ni watu wangu, wana ambao hawatanidanganya”; hivyo akawa Mwokozi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana alisema, Hakika ndio watu wangu hawa, wana wasio na hila; akawa Mwokozi wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana alisema juu yao: “Hakika, hawa ni watu wangu; watoto wangu ambao hawatanidanganya.” Basi yeye akawa Mwokozi wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alisema, “Hakika wao ni watu wangu, wana ambao hawatanidanganya”; kisha akawa Mwokozi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alisema, “Hakika wao ni watu wangu, wana ambao hawatanidanganya”; hivyo akawa Mwokozi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana alisema, Hakika ndio watu wangu hawa, wana wasio na hila; akawa Mwokozi wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana alisema juu yao: “Hakika, hawa ni watu wangu; watoto wangu ambao hawatanidanganya.” Basi yeye akawa Mwokozi wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Kumbe hawa ndio walio ukoo wangu, ndio wanangu, hawataongopa; akawa mwokozi wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana alisema, Hakika ndio watu wangu hawa, wana wasio na hila; akawa Mwokozi wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana alisema juu yao: Hakika, hawa ni watu wangu; watoto wangu ambao hawatanidanganya. Basi yeye akakuwa Mwokozi wao.