Isaiah 64:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji yako mitakatifu imekuwa nyika; Siyoni umekuwa mahame, Yerusalemu umekuwa uharibifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa; hata Sayuni ni jangwa, Yerusalemu ni ukiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa, Sayuni umekuwa jangwa, Yerusalemu umekuwa ukiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji yako mitakatifu imekuwa nyika; Siyoni umekuwa mahame, Yerusalemu umekuwa uharibifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa; hata Sayuni ni jangwa, Yerusalemu imekuwa ukiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa; hata Sayuni ni jangwa, Yerusalemu ni ukiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa, Sayuni umekuwa jangwa, Yerusalemu umekuwa ukiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji yako mitakatifu imekuwa nyika; Siyoni umekuwa mahame, Yerusalemu umekuwa uharibifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji yako mitakatifu imegeuka kuwa mapori, hata Sioni ni pori tupu, Yerusalemu umeangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa, Sayuni umekuwa jangwa, Yerusalemu umekuwa ukiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyumba yetu takatifu na nzuri, ambamo babu zetu walikusifu, imeteketezwa kwa moto. Pahali petu pote pazuri pamekuwa mabomoko.