Isaiah 64:12 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, baada ya haya yote, utajizuia? Je, utanyamaza, na kutuadhibu kupita kiasi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utajizuia usiyaangalie mambo haya, Ee Bwana? Utanyamaza, na kututesa sana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, baada ya haya yote, utajizuia? Je, utanyamaza kimya na kutuadhibu kupita kiasi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, baada ya haya yote, utajizuia? Je, utanyamaza kimya na kutuadhibu kupita kiasi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utajizuia usiyaangalie mambo haya, Ee BWANA? Utanyamaza, na kutuadhibu vikali?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, kwa ajili ya hayo utawezaje kujizuia? Utawezaje kunyamaza na kutuacha, tuzidi kunyongeka sana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utajizuia usiyaangalie mambo haya, Ee BWANA? Utanyamaza, na kututesa sana?