Isaiah 64:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingeteketea kama moto uchomavyo kichaka, kama vile moto uchemshavyo maji. Njoo upate kuwajulisha maadui zako jina lako nayo mataifa yatetemeke kwa kuwako kwako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile moto unavyoteketeza vijiti na kusababisha maji kuchemka, shuka ukafanye jina lako lijulikane kwa adui zako, na kusababisha mataifa yatetemeke mbele zako!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama vile moto uchomapo vichaka, na moto uchemshapo maji; ili kuwajulisha adui zako jina lako, mataifa wakatetemeke mbele zako!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingeteketea kama moto uchomavyo kichaka, kama vile moto uchemshavyo maji. Njoo upate kuwajulisha maadui zako jina lako nayo mataifa yatetemeke kwa kuwako kwako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile moto uteketezavyo vijiti na kusababisha maji kuchemka, shuka ukafanye jina lako lijulikane kwa adui zako na kusababisha mataifa yatetemeke mbele zako!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile moto uteketezavyo vijiti na kusababisha maji kuchemka, shuka ukafanye jina lako lijulikane kwa adui zako, na kusababisha mataifa yatetemeke mbele zako!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama vile moto uchomapo vichaka, na moto uchemshapo maji; ili kuwajulisha adui zako jina lako, mataifa wakatetemeke mbele zako!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingeteketea kama moto uchomavyo kichaka, kama vile moto uchemshavyo maji. Njoo upate kuwajulisha maadui zako jina lako nayo mataifa yatetemeke kwa kuwako kwako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama moto unavyokoleza vijiti, viwake, au kama moto unavyochemsha maji, hivyo wajulishe wapingani wako Jina lako, wamizimu watetemeke mbele yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama vile moto uchomapo vichaka, na moto uchemshapo maji; ili kuwajulisha adui zako jina lako, mataifa wakatetemeke mbele zako!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ulipotenda maajabu ambayo hatukutazamia, ulishuka chini nayo milima ikatetemeka ilipokuona.