Isaiah 64:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati ulipotenda maajabu ambayo hatukutazamia, ulishuka chini nayo milima ikatetemeka ilipokuona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ulipofanya mambo ya kutisha ambayo hatukuyatazamia, ulishuka, nayo milima ikatetemeka mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulipofanya mambo ya kutisha tusiyoyatazamia, ulishuka, milima ikatetema mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati ulipotenda maajabu ambayo hatukutazamia, ulishuka chini nayo milima ikatetemeka ilipokuona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ulipofanya mambo ya kutisha ambayo hatukuyatazamia, ulishuka nayo milima ikatetemeka mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ulipofanya mambo ya kutisha ambayo hatukuyatazamia, ulishuka, nayo milima ikatetemeka mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulipofanya mambo ya kutisha tusiyoyatazamia, ulishuka, milima ikatetemeka mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati ulipotenda maajabu ambayo hatukutazamia, ulishuka chini nayo milima ikatetemeka ilipokuona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ungefanya matendo yatishayo, tusiyoyangojea, ukashuka, milima ikitukutika mbele yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulipofanya mambo ya kutisha tusiyoyatazamia, ulishuka, milima ikatetema mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tangu zamani hakuna aliyepata kusikia kwa masikio yake wala kumwona Mungu anayekuwa kama wewe, anayetenda mambo kama hayo kwa ajili ya wale wanaomutegemea!