Isaiah 64:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna hata mmoja anayekuja kukuomba; hakuna anayejishughulisha kukutafuta. Wewe unauficha uso wako mbali nasi, umetuacha tukumbwe na maovu yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna yeyote anayeliitia jina lako wala anayejitahidi kukushika, kwa kuwa umetuficha uso wako na kutuacha tudhoofike kwa sababu ya dhambi zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena hapana aliitiaye jina lako, ajitahidiye akushike; kwa kuwa umetuficha uso wako, nawe umetukomesha kwa njia ya maovu yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna hata mmoja anayekuja kukuomba; hakuna anayejishughulisha kukutafuta. Wewe unauficha uso wako mbali nasi, umetuacha tukumbwe na maovu yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna ye yote anayeliitia jina lako wala anayejitahidi kukushika, kwa kuwa umetuficha uso wako na kutuacha tudhoofike kwa sababu ya dhambi zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna yeyote anayeliitia jina lako wala anayejitahidi kukushika, kwa kuwa umetuficha uso wako na kutuacha tudhoofike kwa sababu ya dhambi zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena hapana aliitiaye jina lako, ajitahidiye akushike; kwa kuwa umetuficha uso wako, nawe umetukomesha kwa njia ya maovu yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna hata mmoja anayekuja kukuomba; hakuna anayejishughulisha kukutafuta. Wewe unauficha uso wako mbali nasi, umetuacha tukumbwe na maovu yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna alitambikiaye Jina lako, hakuna ajihimizaye kukushika, kwani umeuficha uso wako, tusiuone, ukatuacha, tuzimie kwa nguvu za manza, tulizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena hapana aliitiaye jina lako, ajitahidiye akushike; kwa kuwa umetuficha uso wako, nawe umetukomesha kwa njia ya maovu yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, ee Yawe, wewe ni Baba yetu. Sisi ni kama udongo, wewe ni mufinyanzi. Sisi wote ni kazi ya mikono yako.