Isaiah 65:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi tambarare ya Sharoni itakuwa malisho, bonde la Akori litakuwa mapumziko ya mifugo kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sharoni itakuwa malisho kwa ajili ya makundi ya kondoo, na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia kwa makundi ya ng’ombe, kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Sharoni itakuwa zizi la makundi ya kondoo, na bonde la Akori mahali pa kulala makundi ya ng'ombe, kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi tambarare ya Sharoni itakuwa malisho, bonde la Akori litakuwa mapumziko ya mifugo kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sharoni itakuwa malisho kwa ajili ya makundi ya kondoo na mbuzi, na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia kwa makundi ya ng'ombe, kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sharoni itakuwa malisho kwa ajili ya makundi ya kondoo, na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia kwa makundi ya ng’ombe, kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Sharoni itakuwa zizi la makundi ya kondoo, na bonde la Akori mahali pa kulala makundi ya ng'ombe, kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi tambarare ya Sharoni itakuwa malisho, bonde la Akori litakuwa mapumziko ya mifugo kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako Saroni kutakuwa na malisho ya makundi ya mbuzi na ya kondoo; nalo bonde la Akori litakuwa pa kukalia ng'ombe kwao walio ukoo wangu, kwa kuwa wamenitafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Sharoni itakuwa zizi la makundi ya kondoo, na bonde la Akori mahali pa kulala makundi ya ng’ombe, kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bonde la Saroni litakuwa nafasi ya kukulishia nyama, bonde la Akori litakuwa mapumziko ya ngombe kwa ajili ya watu wangu walionitafuta.