Isaiah 65:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale niliowachagua nitawapa jina jipya. Lakini nyinyi jina lenu watalitumia kulaania; ‘Watasema: Bwana Mungu awaue kama hao.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtaliacha jina lenu kuwa laana kwa watu wangu waliochaguliwa; Bwana Mungu Mwenyezi atawaua ninyi, lakini watumishi wake atawapa jina jingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtaliacha jina lenu kuwa laana kwa wateule wangu. Na Bwana MUNGU atakuua; naye atawaita watumishi wake kwa jina lingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale niliowachagua nitawapa jina jipya. Lakini nyinyi jina lenu watalitumia kulaania; ‘Watasema: Bwana Mungu awaue kama hao.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtaliacha jina lenu kuwa laana kwa watu wangu waliochaguliwa; BWANA Mwenyezi atawaua ninyi, lakini watumishi wake atawapa jina jingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtaliacha jina lenu kuwa laana kwa watu wangu waliochaguliwa; bwana Mwenyezi atawaua ninyi, lakini watumishi wake atawapa jina jingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtaliacha jina lenu kuwa laana kwa wateule wangu. Na Bwana MUNGU atakuua; naye atawaita watumishi wake kwa jina lingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale niliowachagua nitawapa jina jipya. Lakini nyinyi jina lenu watalitumia kulaania; ‘Watasema: Bwana Mungu awaue kama hao.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo majina yenu mtayaachilia wao, niliowachagua, watayatumia wakitaka kuapiza na kusema: Bwana Mungu na akuue hivyo! Lakini watumishi wangu atawaita kwa majina mengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtaliacha jina lenu kuwa laana kwa wateule wangu. Na Bwana MUNGU atakuua; naye atawaita watumishi wake kwa jina lingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale niliowachagua nitawapa jina jipya. Lakini ninyi jina lenu watalitumia kwa kulaani; watasema: Bwana wetu Yawe awaue.