Isaiah 65:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Furahini, mkashangilie milele, kwa ajili ya vitu hivi ninavyoumba. Yerusalemu nitaufanya mji wa shangwe, na watu wake watu wenye furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini furahini na kushangilia daima katika hivi nitakavyoumba, kwa kuwa nitaumba Yerusalemu uwe wa kupendeza, nao watu wake wawe furaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini furahini, mkashangilie daima, kwa ajili ya hivi niviumbavyo; maana, tazama, naumba Yerusalemu uwe shangwe, na watu wake wawe furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Furahini, mkashangilie milele, kwa ajili ya vitu hivi ninavyoumba. Yerusalemu nitaufanya mji wa shangwe, na watu wake watu wenye furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini furahini na kushangilia daima katika hivi nitakavyoumba, kwa kuwa nitaumba Yerusalemu uwe wa kupendeza, nao watu wake wawe furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini furahini na kushangilia daima katika hivi nitakavyoumba, kwa kuwa nitaumba Yerusalemu uwe wa kupendeza, nao watu wake wawe furaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini furahini, mkashangilie daima, kwa ajili ya hivi niviumbavyo; maana, tazama, naumba Yerusalemu uwe shangwe, na watu wake wawe furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Furahini, mkashangilie milele, kwa ajili ya vitu hivi ninavyoumba. Yerusalemu nitaufanya mji wa shangwe, na watu wake watu wenye furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yafurahieni na kuyashangilia kale na kale, nitakayoyaumba mimi! Kwani na mwone, nikiumba Yerusalemu kuwa pa kushangilia nao watu wake kuwa wenye furaha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini furahini, mkashangilie daima, kwa ajili ya hivi niviumbavyo; maana, tazama, naumba Yerusalemu uwe shangwe, na watu wake wawe furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufurahi na kushangilia milele, kwa ajili ya vitu hivi ninavyoumba. Yerusalema nitaifanya muji wa shangwe, na watu wake watu wenye furaha.