Isaiah 65:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana kutwa niliwanyoshea mikono watu waasi, watu ambao hufuata njia zisizo sawa, watu ambao hufuata fikira zao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchana kutwa nimeinyoosha mikono yangu kwa watu wakaidi, wanaoenda katika njia ambazo si nzuri, wafuatao mawazo yao wenyewe:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana kutwa niliwanyoshea mikono watu waasi, watu ambao hufuata njia zisizo sawa, watu ambao hufuata fikira zao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana kutwa nimeinyosha mikono yangu kwa watu wakaidi, wanaokwenda katika njia ambazo si nzuri, wafuatao mawazo yao wenyewe,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana kutwa nimeinyoosha mikono yangu kwa watu wakaidi, wanaokwenda katika njia ambazo si nzuri, wafuatao mawazo yao wenyewe:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana kutwa niliwanyoshea mikono watu waasi, watu ambao hufuata njia zisizo sawa, watu ambao hufuata fikira zao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchana kutwa naliikunjua mikono yangu kuwaita watu wabishi washikao njia isiyo nzuri, wayafuatao mawazo yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana kutwa niliwanyooshea mikono watu waasi, watu ambao wanafuata njia zisizokuwa nzuri, watu ambao wanafuata mawazo yao wenyewe.