Isaiah 65:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata kabla hawajaniita, mimi nitawaitikia; kabla hawajamaliza kusema, nitakuwa nimewajibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla hawajaita, nitajibu, nao wakiwa katika kunena, nitasikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata kabla hawajaniita, mimi nitawaitikia; kabla hawajamaliza kusema, nitakuwa nimewajibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla hawajaita nitajibu, nao wakiwa katika kunena nitasikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla hawajaita, nitajibu, nao wakiwa katika kunena, nitasikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa bado wanena, nitasikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata kabla hawajaniita, mimi nitawaitikia; kabla hawajamaliza kusema, nitakuwa nimewajibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Itakuwa hivyo: Watakapokuwa hawajanililia bado, mimi nitawaitikia; watakapokuwa wanasema bado, mimi nitakuwa nimesikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata mbele hawajaniita, mimi nitawaitikia; mbele hawajamaliza kusema, nitakuwa nimewajibu.