Isaiah 65:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni watu ambao daima hunichokoza waziwazi; hutambikia miungu yao katika bustani, na kuifukizia ubani juu ya matofali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
taifa ambalo daima hunikasirisha machoni pangu, wakitoa dhabihu katika bustani na kufukiza uvumba juu ya madhabahu za matofali;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni watu ambao daima hunichokoza waziwazi; hutambikia miungu yao katika bustani, na kuifukizia ubani juu ya matofali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
taifa ambalo daima hunikasirisha machoni pangu, wakitoa dhabihu katika bustani na kufukiza uvumba juu ya madhabahu za matofali;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
taifa ambalo daima hunikasirisha machoni pangu, wakitoa dhabihu katika bustani na kufukiza uvumba juu ya madhabahu za matofali;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni watu ambao daima hunichokoza waziwazi; hutambikia miungu yao katika bustani, na kuifukizia ubani juu ya matofali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio watu wanaonikasirisha pasipo kukoma, ijapo niwatazame, hutambika shambani, huvukiza kwenye matofali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni watu ambao wananichokoza waziwazi siku zote; wanatambikia miungu yao katika bustani, na kuifukizia ubani juu ya matofali.